Kamishna Msaidizi , SACP Gabriel Mukungu wa Jeshi la
Polisi la Tanzania, akielekezwa na Kapteni Vasily Gerasimov wa Wizara ya Ulinzi
nchini Urusi, namna ya kudhibiti uhalifu
katika majengo wakati wa kikao cha kubadilishana uzoefu wa kudhibiti uhalifu kati
ya nchi hizo. Kikao hicho kilifanyika
leo katika ukumbi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi , Dar es Salaam.
(Picha
zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
|
0 maoni:
Chapisha Maoni