Jumatatu, 26 Septemba 2016

TIGO FIESTA YAITIKISA MKOA WA KILIMANJARO

Posted by Esta Malibiche on Sept26.2016 in BURUDANI

barnaba-na-nandy1
Wasanii Barnaba na Nandy wakitoa burudani pamoja kwenye tamasha la Tigo Fiesta kwenye uwanja wa Majengo,Moshi mkoani Kilimanjaro usiku wa kuamkia jana.

Barnaba akiendeleza mtiriko wa burudani ya muziki mzuri

Christian Bella naye akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta
Wasanii Navy Kenzo wakitoa burudani kwenye tamasha la Tigo Fiesta kwenye uwanja wa Majengo,Moshi mkoani Kilimanjaro usiku wa kuamkia jana.
 

Nay wa Mitego akitoa michano hatari katika jukwaa la Tigo Fiesta

Msanii Sholo Mwamba akionyesha uhodari wake wa mtindo wa singeli kwenye tamasha la Tigo Fiesta uwanja wa Majengo, Moshi Kilimanjaro usiku wa kuamkia jana.
 

Umati wa wakazi wa Moshi waliojitokeza kwa wingi kushuhudia tamasha la Tigo Fiesta usiku wa jana 

0 maoni:

Chapisha Maoni