Manunuzi ya vitu vya kutumia kama jozi za viatu, mavazi au vifaa vya michezo ni moja ya sehemu ya maisha yetu ya kila siku, licha ya kutofautiana katika garama ya vitu hivyo, kwani pale utakapo nunua kitu cha garama kubwa zaidi lakini kua kidogo kiumbo lazima ushangaze jamii.
Kutana na kampuni ya Broga (bro + yoga) ilioamua kutengeneza mkeka wakufanyia mazoezi ya yoga wenye thamani kubwa zaidi duniani kuliko mikeka yote ilio wai kutengenezwa na kampuni hiyo walio upa jina la Balleryoga wenye thamani ya dola $1000 sawa na shilingi za kitanzania milioni mbili, laki moja na hamsini elfu.
Taarifa kutoka Makala ya Daily News zimesema kwamba mkeka huo unaotumika katika mazoezi ya yoga, umetengenezwa kwa kutumia matirio ya “pebbled pigskin” ambayo hutumika kutengenezea mipira ya mchezo wa pete maarufu kama basketball. kwani wazo zima lilitokea kwenye mfumo wa mpira huo ambao, hauingii maji, haunati, wala kuchakaa na unakupa uweza wa kuwa sawa zaidi wakati unafanya mazoezi hayo.
Aidha taarifa imesema kwamba mkeka huo unaonyesha kua na thamani na wa kifahari zaidi duniani kulingana na garama yake kubwa lakini uweza uliokua nao nimkubwa kumuwezesha mtu  kutochoka au kuchukia mazoezi ya yoga akiwa ana utumia.
misfits31472680454
mkeka wakufanyia mazoezi ya yoga
matpackageplusball075x
mkeka wakufanyia mazoezi ya yoga
tumblr_inline_odkgc9ekdf1tiffji_1280