Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na
Serikali za Mitaa, Gerge Simbachawene bungeni mjini Dodoma Septemba 14,
2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa
akizungumza na Mbunge wa Mlimba, Susan Kiwanga kwenye viwanja vya Bunge
mjini Dodoma Septemba 14, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Mbunge wa Sumve, Richard Ndassa (kulia) na Mbunge wa
Mvomero, Suleiman Saddiq kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba
14, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Riziki Lulida kwenye viwanja vya
Bunge mjini Dodoma Septemba 14, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 maoni:
Chapisha Maoni