Posted by Esta Malibiche on Sept29.2016 in NEWS
Dk Arvinder Singh akizungumzia
umuhimu wa kununua vifaa tiba, kuwapo kwa madaktari na wauguzi wa
kutosha, kuwapo kwa gesi ya uhakika, chumba cha kisasa cha wagonjwa
wanaohitaji uangalizi maalumu na madaktari na wauguzi kutoa huduma kwa
wakati kwa watoto hao.
Mtoa Mada, Martha Mkony
akizungumzia vifo vya watoto na jinsi ya kutoa huduma bora kwa watoto
wanaozaliwa kabla ya muda na njia ya kuzuia vifo kwa watoto hao.
Baadhi ya washiriki wakisikiliza mada hiyo Leo katika hospitali hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wakiwamo madaktari na wauguzi wakifuatilia mada kwenye semina hiyo.
Dk Hassan Mtani akitoa mada kuhusu kifafa cha mimba katika mkutano uliofanyika Leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).
Baadhi ya washiriki wakisikiliza mada hiyo Leo katika hospitali hiyo.
0 maoni:
Chapisha Maoni