Posted by Esta Malibiche on Sept 17.2016 in News
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhe, Hamad Masauni akisalimiana naAskari wa Uhamiaji katika kituo
cha Uhamiaji cha Namanga, Mkoani Arusha wakati alipokwenda kukagua
usalama wa mpaka huo ambapo aliwataka Askari hao kuendelea kufanya
Oparesheni za mara kwa mara ili kuhakikisha hakuna wahamiaji haramu
ambao watapita katika mpaka huo.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhe, Hamad Masauni akitoka kukagua mojawapo ya ofisi ya Uhamiaji
katika mpaka wa Namanga, Mkoani Arusha wakati alipokwenda kukagua
usalama wa mpaka huo ambapo aliwataka Askari wa Uhamiaji katika kituo
cha Namanga kuendelea kufanya Oparesheni za mara kwa mara ili
kuhakikisha hakuna wahamiaji haramu ambao watapita katika mpaka huo.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani
ya Nchi, Mhe, Hamad Masauni akikagua mpaka wa Tanzania na Kenya
(Namanga), Mkoani Arusha wakati alipokwenda kukagua usalama wa mpaka huo
ambapo aliwataka Askari wa Uhamiaji katika kituo cha Namanga kuendelea
kufanya Oparesheni za mara kwa mara ili kuhakikisha hakuna wahamiaji
haramu ambao watapita katika mpaka huo.Katikati ni Mkuu wa kituo cha
uhamiaji Namanga, Abdalah Katimba na Mkuu wa Uhamiaji Mkoa wa Arusha,
Bw. Mwakipesile.
(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani).
0 maoni:
Chapisha Maoni