Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano anayesimamia sekta ya Mawasiliano Prof. Faustin
Kamuzora akizungumza na Ujumbe kutoka Ujerumani (hawapo pichani) kuhusu
ushirikiano katika kukuza Elimu ya TEHAMA ili kurahisishia sekta
nyingine kuchangia kwa kiwango cha juu pato la Taifa.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano anayesimamia sekta ya Mawasiliano Prof. Faustin
Kamuzora (kushoto) akizungumza na mshauri wa kiufundi wa Elimu ya ufundi
na mafunzo wa shirika la maendeleo la Ujerumani hapa nchini (GIZ) Dkt.
Karola Hahn kuhusu ushirikiano wao katika kukuza Elimu ya TEHAMA ili
kurahisisha sekta nyingine kuchangia pato la Taifa.
Mwambata wa kisiasa kutoka Ubalozi
wa Ujerumani hapa nchini Bi.Lena Thiede (kushoto) akizungumza wakati wa
kikao cha kujadili ushirikiano wa kukuza Elimu ya TEHAMA hapa nchini
ili kurahisisha sekta nyingine kuchangia kwa kiwango cha juu pato la
Taifa.
Picha ya pamoja baada ya kumaliza
kikao kuhusu ushirikiano wa kukuza Elimu ya TEHAMA ili kurahisisha
sekta nyingine kuchangia kwa kiwango cha juu pato la Taifa.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
0 maoni:
Chapisha Maoni