Jumatatu, 19 Septemba 2016

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI AFANYA ZIARA ZBC RADIO

b4
Mtangazaji wa ZBC Radio Fatma Said akifanya mahojiano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Muhamed Shein katika Studio za ZBC ambapo Dkt. Shein amefanya ziara katika Shirika hilo.
b1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Muhamed Shein akipata maelezo yautendaji kazi, kwa msaidizi Mkuu wa utangazaji ZBC Radio Salum Othman Said alipofanya ziara kuona utendaji kazi zao.
b2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Muhamed Shein akizungumza na watangazaji wa ZBC Radio katika Studio za Shrika hilo Raha leo mjini Zanzibar.
b3
Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Muhamed Shein (katikati) katika picha ya pamoja na Watangazaji wa ZBC Radio.
Picha na Yusuf Simai /Maelezo Zanzibar.

0 maoni:

Chapisha Maoni