Posted by Esta Malibiche on Sept29.2016 in TEKNOLOJIA
Mwakilishi mkazi wa Benki ya
dunia Bi. Bella Bird (kushoto) akizungumza jambo na Naibu Waziri wa
Nishati na Madini Dkt.Medard Kalemani(kulia) wakati walipokutana
kuzungumzia masuala ya mafuta na gesi katika sera ya mzawa katika mradi
wa Liquidfied natural gas (LNG)uliofanyika katika ukumbi wa mwalimu
nyerere jijini Dar es Salaam.
Picha na Daudi Manongi,MAELEZO
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Bi. Beng’i Issa akizungumza na akizungumza
na wadau wa mafuta na gesi kuhusu sera sera ya uzawa katika mradi wa
Liquidfied natural gas (LNG) uliofanyika katika ukumbi wa mwalimu
nyerere jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini
Dkt.Medard Kalemani(katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na
mwakilishi mkazi wa Benki ya dunia Bi. Bella Bird, Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Bi. Beng’i Issa, Mkurugenzi
wa Shirika la TradeMark East Afrika Bw.John Ulanga na kamishna Msaidizi
wa umeme kutoka wizara ya nishati na madini Mhandisi John Luoga.
Mwakilishi mkazi wa Benki ya
dunia Bi. Bella Bird akizungumza na wadau wa mafuta na gesi kuhusu sera
ya uzawa katika mradi wa Liquidfied natural gas (LNG) uliofanyika
katika ukumbi wa mwalimu nyerere jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini
Dkt.Medard Kalemani akizungumza na wadau wa mafuta na gesi kuhusu sera
sera ya uzawa katika mradi wa Liquidfied natural gas (LNG)uliofanyika
katika ukumbi wa mwalimu nyerere jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini
Dkt.Medard Kalemani akizungumza na wadau wa mafuta na gesi kuhusu sera
sera ya uzawa katika mradi wa Liquidfied natural gas (LNG)uliofanyika
katika ukumbi wa mwalimu nyerere jijini Dar es Salaam.
0 maoni:
Chapisha Maoni