Jumamosi, 17 Septemba 2016

Wafanyakazi wa Hellos Tower,Nipe Fagio na Ubalozi wa Marekani waendelea kuunga mkono harakati za Usafi katika kuweka mazingira safi.

uba1
Wafanyakazi kutoka Kampuni ya Hellos Towers wakijiandikisha kwa ajili ya zoezi la usafi pembezoni mwa ufukwe wa Coco (Coco Beach)  ikiwa ni jitihada za kuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli la kuweka mazingira safi.
uba2

uba3
Wafanyakazi kutoka  Kampuni ya Hellos Towers,Nipe fagio na Ubalozi wa Marekani wakifanya usafi katika kingo za ufweke wa Coco (Coco Beach) ikiwa ni juhudi za kuendelea kuunga mkono kauli mbiu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli katika kuweka mazingira safi.
uba4

uba5 uba6

uba7
Bango la kampuni ya Nipe Fagio likiwa linakitoa ujumbe kwa wananchi kutokuwa na tabia ya kutupa taka ovyo ili kuweka mazingira safi na salama kwa afya zetu.
uba8

0 maoni:

Chapisha Maoni