Msanii
wa muziki wa bongo flava, Seif Mwinjuma ‘Sholo Mwamba’ akiimba katika
tamasha la Uhondo wa Zantel lililofanyika katika viwanja vya Temeke
Mwisho, Dar es Salaam hivi karibuni ikiwa ni moja ya kampeni za kampuni
ya simu ya mkononi ya Zantel kuwa karibu na wateja wake ikiwajulisha
bidhaa na huduma mpya zilizopo sokoni.
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya Ally Momba ‘Momba’ akionyesha umahiri wake wa
kuimba katika tamasha la Uhondo wa Zantel lililofanyika katika viwanja
vya Temeke Mwisho, Dar es Salaam ikiwa ni moja ya kampeni za kampuni ya
simu ya mkononi ya Zantel kuwa karibu na wateja wake ikiwajulisha bidhaa
na huduma mpya zilizopo sokoni.
Msanii
maarufu anayetesa na wimbo wake wa ‘segere’ Siza Mazongela akikonga
nyoyo za mashabiki wake katika tamasha la Uhondo wa Zantel lililofanyika
katika viwanja vya Temeke Mwisho, Dar es Salaam ikiwa ni moja ya
kampeni za kampuni ya simu ya mkononi ya Zantel kuwa karibu na wateja
wake ikiwajulisha bidhaa na huduma mpya zilizopo sokoni.
Meneja
Habari na Uhusiano wa Kampuni ya simu ya Zantel, Winnes Lyaro (kulia),
akitoa maelezo kwa baadhi ya wakazi wa Temeke, Dar es Salaam kuhusu
huduma na bidhaa mpya zitolewazo na kampuni hiyo wakati wa tamasha
lililopewa jina la ‘uhondo wa Zantel’ lililodhaminiwa na kampuni hiyo.
0 maoni:
Chapisha Maoni