Jumapili, 18 Septemba 2016

ZIARA YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MWIGULU NCHEMBA MKOANI KAGERA

Posted by Esta Malibiche on Sept 18.2016 in NEWS
 

BUKOBA

WAZIRI wa mambo ya ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba ametembelea makazi,vituo vya polisi na magereza yaliyoathirika kutokana na tetemeko la ardhi lililotokea Mkoa wa Kagera hivi karibuni.
Akikagua nyumba zilizoathirika na tetemeko hilio Waziri alisema hatua  ya awali ya kuboresha mazingira ya kazi zimeanza kuchukuliwa ikiwa nipamoja na  kuanza ujenzi wa majengo yaliyoathirik.





 










Picha na Festo Sanga

0 maoni:

Chapisha Maoni