Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa
Taifa wa Mashujaa (National Heroes Stadium) jijini Lusaka kumwakilisha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwenye
sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Awamu ya 6 wa Zambia Mhe Edgar C. Lungu
leo Septemba 13, 2016
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akiwasili huku akipunga
mkono kwenye uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes Stadium)
jijini Lusaka kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt
John Pombe Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Awamu ya 6
wa Zambia Mhe Edgar C. Lungu leo Septemba 13, 2016

Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa
Botswana Luteni Jenerali Seretse Khama baada ya kuwasili kwenye uwanja
wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes Stadium) jijini Lusaka
kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Awamu ya 6 wa Zambia
Mhe Edgar C. Lungu leo Septemba 13, 2016
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akiwa na Naibu Rais wa
Kenya Mhe william Rutto, Makamu wa Rais wa Namibia Mhe. Nickey
Iyambo na Rais wa kwanza wa Zambia Dkt. Kenneth Kaunda baada ya kuwasili
kwenye uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes Stadium) jijini
Lusaka kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John
Pombe Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Awamu ya 6 wa
Zambia Mhe Edgar C. Lungu leo Septemba 13, 2016
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akiwa na Naibu Rais wa
Kenya Mhe william Ruttona wageni wengine wakielekea jukwaani kwenye
uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes Stadium) jijini Lusaka
ambako amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John
Pombe Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Awamu ya 6 wa
Zambia Mhe Edgar C. Lungu leo Septemba 13, 2016
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan na viongozi wengine wakiwa
kwenye uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes Stadium) jijini
Lusaka ambako kamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt
John Pombe Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Awamu ya 6
wa Zambia Mhe Edgar C. Lungu leo Septemba 13, 2016
Rais mteule wa Zambia Mhe Edgar C.
Lungu akiwasili kwenye uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes
Stadium) jijini Lusaka kwenye sherehe za kuapishwa kwake kuwa Rais wa
Awamu ya 6 wa Zambia Mhe Edgar C. Lungu leo Septemba 13, 2016

Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akiwapongea Rais Edgar C’
Lungu na Makamu wake wa Rais Mama Inonge Mutukwa Wina baada ya viongozi
hao kula viapo kwenye uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes
Stadium) jijini Lusaka. Mama Samia amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwenye sherehe hizo.
0 maoni:
Chapisha Maoni