Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Ramadhani Dau kuwa
Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Tixon Nzunda kuwa
Katibu Tawala wa mkoa wa Rukwa, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Eliya Ntandu kuwa
Katibu Tawala mkoa wa Songwe, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Eliya Ntandu kuwa
Katibu Tawala mkoa wa Songwe, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Adoh Mapunda kuwa
Katibu Tawala mkoa wa Mara Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na katika picha ya pamoja na
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John
Kijazi, Balozi wa Tanzania nchini Malaysia, Dkt. Ramadhani Dau na Naibu
Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Suzan
Kolimba mara baada ya tukio la uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Makamu
wa Rais Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi,
Katibu Tawala mkoa wa Mara Bw. Adoh Mapunda wa pili kutoka (kushoto),
Katibu Tawala wa mkoa wa Rukwa Bw. Tixon Nzunda watatu kutoka (kushoto) ,
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt.
Suzan Kolimba wapili kutoka (kulia), Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe
Eliya Ntandu wakwanza (kulia) mara baada ya tukio la uapisho Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Balozi mpya wa
Tanzania nchini Malaysia Dkt. Ramadhani Dau mara baada ya tukio la
uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Tanzania nchini Malaysia
Dkt. Ramadhani Dau, Katibu Tawala mkoa wa Rukwa Tixon Nzunda, Katibu
Tawala wa Mkoa wa Songwe Eliya Ntandu pamoja na Katibu Tawala wa mkoa wa
Mara Adoh Mapunda wakila kiapo cha Uadilifu mara baada ya kuapishwa
Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
0 maoni:
Chapisha Maoni