MKUU wa wilaya ya Kibaha ,mkoani
Pwani,Assumpter Mshama ,akizungumza na wakulima na wafugaji wa kata ya
Dutumi na kata ya Kwala wilayani humo juu ya matatizo ya wakulima na
wafugaji . (Picha na Mwamvua Mwinyi)
Mkuu wa wilaya ya Kibaha,
Assumpter Mshama,akimsikiliza mkulima Tausi Maulid, ambaye mifugo
iliingia katika shamba lake na kula mazao yake na mifugo ya Dotto
Mabula huko kijiji cha Madege kata ya Dutumi.(Picha na Mwamvua Mwinyi)
Mwenyekiti wa wafugaji huko katika
kijiji cha Dutumi mzee Majaliwa akimuelezea mkuu wa wilaya ya Kibaha
Assumpter Mshama, juu ya mgogoro baina ya wafugaji na wakulima katika
eneo hilo.(Picha na Mwamvua Mwinyi)
0 maoni:
Chapisha Maoni