Jumatano, 14 Septemba 2016

NG,OMBE WA MFUGAJI WAKAMATWA

mif1

Ng’ombe wa mfugaji Dotto Mabula ,wa kijiji cha Madege kata ya Dutumi wilayani ,Kibaha mkoani Pwani wakiingizwa katika zizi la  ofisi  ya serikali ya kijiji cha Dutumi baada ya kukamatwa wakila  mazao kwenye moja ya shamba kijijini  hapo,Hiyo ni moja ya mkakati wa kata ya Dutumi ambapo kila serikali ya kijiji imejenga zizi la  kusweka ndani mifugo kabla ya mfugaji kulipia faini.(Picha na Mwamvua Mwinyi)

0 maoni:

Chapisha Maoni