Jumatatu, 19 Septemba 2016

Waziri Jenista Muhagama apokea msaada wa Magodoro,Mabati na Mablanketi kutoka Serikali ya Kenya

ken1


Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali mstaafu Salum Mustafa Kijuu akipokea msaada wa Mabati, kutoka kwa Balozi wa Kenya Bw. Chirau Ali Mwakwere kwa ajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera.Kushoto ni Waziri wa Nchi Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama.Serikali ya Kenya imekabidhi mabati 4000,blanketi 400 na magodoro 100.
ken2
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali mstaafu Salum Mustafa Kijuu akipokea msaada wa mablanketi kutoka kwa Balozi wa Kenya Bw. Chirau Ali Mwakwere. Kushoto kwake  ni  Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana Ajira na Walemavu,Mhe. Jenista Mhagama.
ken3
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali mstaafu Salum Mustafa Kijuu akipokea msaada wa magodoro  kutoka kwa Balozi wa Kenya Bw. Chirau Ali Mwakwere. Kushoto kwake ni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana Ajira na Walemavu,Mhe. Jenista Mhagama.

0 maoni:

Chapisha Maoni