Posted by Esta Malibiche on Sept 3,2016 in SIASA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye mkutano wa hadhara
unaofanyika katika Uwanja wa Demokrasia wa Kibandamaiti mjini Zanzibar.
Mkutano huu unahudhuriwa pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein. Matangazo haya yanarushwa moja kwa
moja (Live) na Azam Tv na ZBC.
Baadhi ya viongozi mblimbali wakiwa katika mkutano huo mchana huu.
Umati wa wananchi waliohudhuria katika mkutano huo.
Baadhi ya viongozi wa chama cha mapinduzi wakiwa katika mkutano huo.
0 maoni:
Chapisha Maoni