Baadhi ya Waalikwa waliohudhuria
katika Uzinduzi wa Matokeo ya Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya
Binafsi wa Mwaka 2014/15 uliofanyika katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo
Zanzibar.
Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar Mayasa Mahfoudha Mwinyi akitoa maelezo kuhusu
utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya binafsi wa Mwaka 2014/15 katika
Uzinduzi uliofanyika katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
Muakilishi wa Ofisi ya Umoja wa
Mataifa Zanzibar Anna Senga akitoa maelezo kuhusu utafiti wa Mapato na
Matumizi ya Kaya binafsi wa Mwaka 2014/15 katika Uzinduzi uliofanyika
katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi
Ayoub Mohd Mahmoud akitoa hotuba ya makaribisho kwa mgeni rasmi katika
Uzinduzi wa utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya binafsi wa Mwaka
2014/15 katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
Waziri wa Fedha na Mipango
Zanzibar Dk,Khalid Salum Mohammed akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Matokeo
ya Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya Binafsi wa Mwaka 2014/15
uliofanyika katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
-Waziri wa Fedha na Mipango
Zanzibar Dk,Khalid Salum Mohammed wamwanzo kushoto akizindua Matokeo ya
Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya Binafsi wa Mwaka 2014/15
uliofanyika katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar. katikati ni Mkuu wa
Mkoa wa Mjini Magharibi Yubu Mohd Mahamoud na mwengine ni Mtakwimu Mkuu
wa Serikali ya zanzibar Mayasa Mahfoudha Mwinyi.
Waziri wa Fedha na Mipango
Zanzibar Dk,Khalid Salum Mohammed wamwanzo kushoto akionesha kitabu cha
Uzinduzi wa Matokeo ya Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya Binafsi wa
Mwaka 2014/15 uliofanyika katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Yubu Mohd Mahamoud na
mwengine ni Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya zanzibar Mayasa Mahfoudha
Mwinyi.
Waziri wa Fedha na Mipango
Zanzibar Dk,Khalid Salum Mohammed akimkabidhi Muakilishi wa UNICEF
Francesca Morandini kitabu cha Matokeo ya Utafiti wa Mapato na Matumizi
ya Kaya Binafsi wa Mwaka 2014/15 uliofanyika katika Ukumbi wa Sanaa
Rahaleo Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
0 maoni:
Chapisha Maoni