Alhamisi, 1 Septemba 2016

MAZISHI YA ALIYEKUWA MAKAMU ASKOFU JIMBO KATOLIKI LA IRINGA PADRE ALOYCE MDEM



Posted by Esta Malibiche on Sept 1.2016




Mapadre wakiwa wamebaba jeneza lenye mwili wa marehemu padre Aloyce Mdem
Mhashamu baba Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa  akielekea makaburini kuhitimisha maziko ya Padre Aloycekatika mazishi yaliyofanyika Parokia ya Tosamaganga jana ,August 31.2016


0 maoni:

Chapisha Maoni