Alhamisi, 1 Septemba 2016

TUKIO LA KUPATWA KWA JUA MBARALI MBEYA

Esta Malibiche on Sept 1.2016
Askari wa FFU Mbeya wakiongoza magari yaliyofika Kirk tukio La kupatwa kwa jua Mbarali mkoani Mbeya leo
Watalii kutoka nje ya Tanzania wakishuhudia tukio La kupatwa kwa jua leo Mjini Mbarali Mbeya kwa vifaa maalum
Wananchi wakitazama kupatwa kwa jua
Afisa habari wa Tanapa Paschal sherutete akiwa eneo La tukio La kupatwa kwa jua mbarali Mkoani Mbeya Tanapa wametumia tukio hilo kufungua Lango La utalii

0 maoni:

Chapisha Maoni