Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia
Ackson akiongoza sala wakati wa ufunguzi wa kikao cha Bunge leo Mjini
Dodoma.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Mhe. Selemani Jafo akijibu wakati wa kikao cha
bunge ambapo alisema serikali ipo katika uhakiki wa maombi ya maeneo mapya utawala kwa kuangalia vigezo katika kuanzisha maeneo hayo.
bunge ambapo alisema serikali ipo katika uhakiki wa maombi ya maeneo mapya utawala kwa kuangalia vigezo katika kuanzisha maeneo hayo.
Waziri
wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Mhe. Prof. Joyce
Ndalichako akijibu wakati wa kikao cha bunge ambapo alisema serikali
serikali itaendelea kuongeza udahili wa walimu wa sayansi katika vyuo
vya elimu ili kuweza kukidhi mahitaji husika.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Mhe. Selemani Jafo (kushoto) akimueleza jambo
Waziri Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Mhe. George Simbachawene.
Waziri Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Mhe. George Simbachawene.
Waziri
wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akijibu wakati wa
kikao cha bunge ambapo aliwaeleza wabunge kuwa Katiba ya Nchi ibara ya
3(2) inaeleza kuwa mambo yote yanayohusu uandikishaji
na uendeshaji wa vyama vya siasa nchini yatasimamiswa kwa mujibu wa masharti ya katiba na sheria iliyotungwa ba Bunge
na uendeshaji wa vyama vya siasa nchini yatasimamiswa kwa mujibu wa masharti ya katiba na sheria iliyotungwa ba Bunge
Waziri Wizara ya Mmabo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mwigulu Nchemba akijibu
wakati wa kikao cha bunge ambapo alisisitiza watanzania kufuata sheria
za nchi na iwapo utakiuka jeshi la polisi litachukuwa hatua bila kujali
itikadi ya chama
chochote cha siasa.
chochote cha siasa.
Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijini Mhe. John Heche akichangia hoja kuhusu tetemeko la ardhi mkoani Kagera wakati wa kikao cha Bunge leo Mjini Dodoma
Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini Mhe. Prof. Anna Tibaijuka akichangia hoja kuhusu tetemeko la ardhi mkoani Kagera wakati
wa kikao cha Bunge leo Mjini Dodoma ambapo mbali na mambo mengine
wabunge wamekubaliana kuchangia posho ya siku moja kwa ajili ya wahanga
wa tetemeko mkoani Kagera.
Wabunge
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakisimama kwa dakika moja
kuungana na wahanga wa tetemeko lililotokea mkoani Kagera.
Waziri
Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Mhe.
George Simbachawene akitoa taarifa ya serikali kuhusu tetemeko la ardhi
lililotokea hivi karibuni Mkoani Kagera.
PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO
0 maoni:
Chapisha Maoni