Posted by Esta Malibiche on Sept 13.2016 in World News
Madaktari
wametumia roboti ya kwanza kufanya upasuaji wa macho na kurejesha uwezo
wa kuona kwa mgonjwa kwa mara ya kwanza duniani.
Kundi la
madaktari kutoka hospitalia ya John Radclife nchini Uingereza, walitumia
roboti hiyo kutoa ngozi nyembamba zaidia kutoka jicho la mgonjwa.
Mgonjwa kwa jina Bill Beaver mwenye umri wa miaka 70 aliyefanyiwa upasuaji huo sasa anasema anahisi vyema.
Madaktari wana matumaini kuwa mfumo huo utasaidia katika upasuaji unaohitaji umakini zaidi.
Roboti iliyotumika Kufanya Upasuaji kwenye Jicho la Mgonjwa. |
0 maoni:
Chapisha Maoni