Jumanne, 13 Septemba 2016

DKT SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA NCHI OFISI YA RAIS NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI

01
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wakiwa katika mkutano Mpango wa Utekelezaji  wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM  mwaka 2015-2020 uliofanyika katika  ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,(wa nne kulia) Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif  Ali Iddi
02
Katibu Mkuu Baraza la Mapinduzi na Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa haji Ussi (Gavu),Mshauri wa Rais Utamaduni Mhe,Chimbeni Kheir Chimbeni na Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi Nd,Salmin  Juma Amour wakiwa katika mkutano wa Wizara hiyo kuhusu Mpango wa Utekelezaji  wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM  mwaka 2015-2020 uliofanyika katika  ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,Chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
03
Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wakiwa katika mkutano Mpango wa Utekelezaji  wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM  mwaka 2015-2020 uliofanyika katika  ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,Chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
[Picha na Ikulu.] 13/09/2016.

0 maoni:

Chapisha Maoni