Posted by Esta Malibiche on Sept2.2016 in News
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wanchi wa Pemba
katika uwanja wa Gombani ya kale Chake chake kisiwani Pemba.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais wa Zanzibar
Dkt. Ali Mohamed Shein kabla ya kuhutubia mkutano wa katika uwanja wa
Gombani ya kale Chake chake kisiwani Pemba.
Rais John magufuli akisalimiana na
naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar VuaiAli Vuaileo katika uwanja wa
Gombani ya kale katika mkutano wa kuwashukuru wananchi wa Mikoa ya
Pemba.
PICHA NA IKULU
0 maoni:
Chapisha Maoni