Posted by Esta Malibiche on Sept8.2016 in BIASHARA
Baadhi ya vifaa mbalimbali vya kampuni hiyo vikiwa tayari vimetolewa nje. |
Wafanyakazi wa Kampuni ya Kimbembe
Auction Mart wakitoa Samani za kampuni ya Centre Point Limited Mpangaji
wa Shirika la Numba NHC Katika nyumba Plot Namba 2008/93 iliyopo Mtaa
wa Indira Ghandhi jijini Dar es salaam kwa kushindwa kulipa kodi ya
pango kiasi cha shilingi Milioni 96, tukio hilo limefanyika leo
asubuhi.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Kimbembe
Auction Mart wakitoa Samani za kampuni ya Centre Point Limited Mpangaji
wa Shirika la Numba NHC Katika nyumba Plot Namba 2008/93 iliyopo Mtaa
wa Indira Ghandhi jijini Dar es salaam
Vitu mbalimbali vikitolewa ndani vikiwemo viti.
Mmoja wa wanafamilia ambaye
hakutaka jina lake litajwe akishuhudia tukio hilo wakati wafanyakazi hao
wakiendelea kutoa vitu mbalimbali katika nyumba hiyo.
0 maoni:
Chapisha Maoni