Jumanne, 6 Septemba 2016

Ndugu , jamaa na rafiki yetu Daniel Manota anaomba msaada wa michango ya matibabu, anasumbuliwa na ugonjwa wa figo

Posted by Esta Malibiche on Sept 6.2016
mungu mkubwa1
Daniel Manota ni mhitimu wa mafunzo ya ualimu Ilonga TC mwaka 2015.anasumbuliwa na maradhi ya FIGO tangu mwezi wa 10/2015,kwa sasa yuko Mhimbili hospital,hari yake inazidi kuwa mbaya kwa kukosa pesa za kununua dawa,hivyo kama ndugu ,jamaa na rafiki unaombwa kumchangia ili aweze kununua dawa zake zinazogharimu kiasi cha sh.milion 1 kwa wiki. Tunaomba tumuunge mkono kijana mwenzetu ambaye anapata maumivu makali .
MUNGU HUMBARIKI ATOAYE KWA MOYO WA UKUNJUFU. Tuma mchango kupitia namba hii ,tuunganishe nguvu zetu kwa lengo la kuokoa maisha yake.hii. 0659656970. NEEMA URASA 076818874 .DANIEL MANOTA
mumgu mkubwa2 
Bw. Daniel Manota akiwa amelazwa Muhimbili kwa kusumbuliwa na maradhi ya figo,  wapendwa tumsaidieni mwenzetu mungu atawabariki pale mtakapopungukiwa kwa misaada yenu mmbarikiwe sana.

0 maoni:

Chapisha Maoni