Posted by Esta Malibiche on Sept 8.2016 in News
Mkurugenzi Mtendaji wa Tacaids, Dk. Leonard Maboko
Mkurugenzi
Mtendaji Mpya wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS), Dk.
Leonard Maboko (kushoto), akizungumza na wadau wa ukimwi katika mkutano
wa kufahamiana uliofanyika Makao Makuu ya Tacaids Dar es Salaam leo.
Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Sheria (Tacaids), Elizabeth Kaganda na
Mkurugenzi wa Ufatiliaji na Tathmini, Dk. Jerome Kamwela.
Wadau wa ukimwi wakimsikiliza mkurugenzi wao mpya.
Wadau wa ukimwi wakimsikiliza mkurugenzi wao.
Mkurugenzi
wa wa Habari na Uraghibishi, Jumanne Isango na Mkurugenzi wa Utawala na
Fedha wa Tacaids, Yasin Abbas wakiwa kwenye mkutano huo.
Taswira ya mkutano huo.
0 maoni:
Chapisha Maoni