Alhamisi, 8 Septemba 2016

RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA MKUTANO WA 17 WA DHARULA WA WAKUU WA NCHI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Poasted by Esta Malibiche on Sept8.2016 in News
 
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wa Burundi Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi Mhe. Alain Nyamitwe muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu
wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 8, 2016

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Katibu Mkuu wa Jumuiya Bw. 
Liberat Mfumukeko muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 8, 2016
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Mwakilishi wa Sudan ya Kusini 
muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 8, 2016

 
 Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa akibadilishana mawili matatu na Rais Paul Kagame wa Rwanda muda
mfupi kabla 
kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa
Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 8, 2016. 
 Kushoto ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein. 
Rais Yoweri Kaguta Museveni akisalimiana na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Rutto
akiwasili kabla ya kuanza 
kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 8, 2016.
1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akiwasili kuhudhuria mkutano wa 17 wa 
dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 8, 2016.
8
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha ndani 
 kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 8, 2016
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Zanzibar na
 Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa 
wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 8, 2016
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mjumbi wa Burundi kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 8, 2016
Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa akibadilishana mawili matatu na Rais Paul Kagame wa Rwanda muda mfupi kabla 
kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 8, 2016.  Kushoto ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais Paul Kagame wa Rwanda muda mfupi kabla  kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 8, 2016.

0 maoni:

Chapisha Maoni