Posted by Esta Malibiche on Sept 12.2016 in MICHEZO
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo mhe. Nape Moses Nnauye (wa pili kulia) akijadiliana jambo na
Mkurugenzi wa Mawasiliano kutoka Airtel Tanzania Bi. Beatrice Singano
(wa pili kushoto) wakati akiwasili katika Uwanja wa Karume kuhitimisha
mashindano ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Star
Septemba 11, 2016 kushoto ni Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu
Tanzania Bw. Jamali Malinzi.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (wa pili kulia) akijadiliana jambo na
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania Bw. Jamali Malinzi wakati
wa hitimisho la mashindano ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel
Rising Star Septemba 11, 2016.
Mkurugenzi wa Airtel Tanzania Bw.
Sunil Colaso akizungumza kuhusu maendeleo ya mashindano ya Airtel Rising
Star wakati wa hitimisho la mashindano hayo ya Vijana chini ya umri wa
miaka 17 katika Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.
Rais wa Shirikisho la Mpira wa
Miguu Tanzania Bw. Jamali Malinzi akitoa salamu kutoka Shirikisho la
Mpira wa Miguu kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape
Moses Nnauye wakati wa hafla ya hitimisho la mashindano ya Vijana chini
ya umri wa miaka 17 Airtel Rising Star katika Uwanja wa Karume Jijini
Dar es Salaam Septemba 11, 2016.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na wanamichezo, wadau wa
michezo na wanahabari kabla ya kushuhudia fainali ya mashindano hayo
yiliyohitimisha mashindano hayo kwa Vijana chini ya umri wa miaka 17
Airtel Rising Star katika Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam Septemba
11, 2016.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akikagua wachezaji wa timu ya Morogoro
Boys kabla ya kuanza kwa fainali kati yao na timu ya Ilala iliyofanyika
katika Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akikabidhi kikombe kwa nahodha wa Timu
ya wasichana ya Temeke walioibuka washindi wa mashindano ya Vijana
chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Star kwa upande wa wasichana
katika Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akikabidhi kikombe kwa nahodha wa Timu
ya wavulana ya Morogoro walioibuka washindi wa mashindano ya Vijana
chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Star kwa upande wa wavulana
katika Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.
Timu ya wasichana ya Temeke
wakishangilia ushindi wao wakishangilia ushindi wao walioupata katika
mashindano ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Star kwa
upande wa wasichana kwa kuwafunga Timu ya temeke kwa mikwaju ya penati
katika Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.
Timu ya wavulana ya Morogoro
wakishangilia ushindi wao wakishangilia ushindi wao walioupata katika
mashindano ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Star kwa
upande wa wavulana kwa kuwafunga Timu ya Ilala kwa goli moja kwa bila
katika Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwa katika picha ya pamoja na Timu
ya wavulana ya Morogoro mara baada ya kumalizika kwa mshindano ya
Vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Star yaliyofanyika
katika Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwa katika picha ya pamoja na Timu
ya wavulana ya Ilala mara baada ya kumalizika kwa mshindano ya Vijana
chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Star yaliyofanyika katika
Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.

Picha zote na Raymond Mushumbusi WHUSM
0 maoni:
Chapisha Maoni