Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda
mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea
Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda
mara baada ya kurejea jijini Dar es Salaam akitokea Zanzibar.
0 maoni:
Chapisha Maoni