Posted by Esta Malibiche on Oct6.2016 in NEWS
Mkuu
wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony J. Mtaka akizungumza na waandishi wa
habari juu ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya kifo cha
Baba wa Taifa na Maadhimisho ya Wiki ya Vijana Oktoba 14 mwaka 2016,
yatakayofanyika mkoani humo.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony J. Mtaka akizungumza na waandishi wa habari juu
ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa na
Maadhimisho ya Wiki ya Vijana Oktoba 14 mwaka 2016, yatakayofanyika mkoani humo.
ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa na
Maadhimisho ya Wiki ya Vijana Oktoba 14 mwaka 2016, yatakayofanyika mkoani humo.
Baadhi ya vijana wa Wilaya ya Maswa wakiwa katika zoezi la uzalishaji chaki katika
kiwanda cha kutengeneza chaki kilichopo wilayani humo ambacho kinazalisha chaki
zinazotambulika sokoni kama Mzinazotumika mkoani Simiyu.
kiwanda cha kutengeneza chaki kilichopo wilayani humo ambacho kinazalisha chaki
zinazotambulika sokoni kama Mzinazotumika mkoani Simiyu.
Baadhi ya vijana wa Wilaya ya Meatu wakielekezwa namna ya kupima maziwa na kutambua
maziwa bora yasiyo na maji, katika kiwanda chao cha uzalishaji wa maziwa yanayotambulika sokoni kama ‘MEATU MILK’
maziwa bora yasiyo na maji, katika kiwanda chao cha uzalishaji wa maziwa yanayotambulika sokoni kama ‘MEATU MILK’
0 maoni:
Chapisha Maoni