Posted by Esta Malibiche on Oct19.2016 in NEWS
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
amemshukuru Mbunge wa Viti Maluum CCM Mkoa wa Lindi Amida Abdalah kwa
kuchangia mabati miamoja kwa ajili ya ujenzi wa wodi ya wazazi katika
Hospitali ya wilaya ya Ruangwa katikati ni mke wa Waziri Mkuu Mama
Mary Majaliwa na kulia ni mganga mkuu wa wilaya ya Ruangwa Dr Japhet
Simeo makabidhiano hayo yamefanyika katika Hospitali Ruangwa
Picha na Chris Mfinanga
Mama Majaliwa akiwasalimia
wauguzi na wananchi walio jitokeza katika makabiano ya mabati miamoja
yaliyo tolewa na Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Lindi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa
ameongozana na Mkuu wa mkoa wa Lindi Godfrey Zambi na Mganga mkuu wa
Hospitali ya Ruangwa Dr Japhet Simeo wakati waziri mkuu alipotembelea
Hospitali ya Wilaya Ruangwa Mkoa wa Lindi
0 maoni:
Chapisha Maoni