Waziri
Asiyekuwa na Wizara Maalum Zanzibar Mhe Juma Ali Khatib akikabidhi
msaada wa Matunda na Vyakula kwa Hospitali ya Mental Kidongochekundu
Zanzibar akipokea msaada huo Daktari Mkuu wa Hospitali hiyo Bi Zainab
Kassim. hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya hospitali hiyo huko
Mental.
Waziri
asiyekuwa na Wizara Maalum Zanzibar Mhe Juma Ali Khatib akisalimiana na
Mgaga Mkuu wa Hospitali ya Mental Kidongochekundu Zanzibar Bi Ruzuna
Mohammed,wakati wa hafla ya kukabidhi msaada huo wa Matunda kwa ajili ya
Wagonjwa wanaopata tiba katika hospitali hiyo. Kuu Zanzibar.
Mhe
Waziri Asiyekuwa na Wizara Maalum Zanzibar Mhe Juma Ali Khatib,
akizungumza na Viongozi baada ya kukabidhi msaada huo nac kuwataka
Wananchi na Wafanyabiashara kujitokeza kusaidia Wagonjwa wa akili ili
kusisikia wako katika mazingira mazuri na kupota misaada mbalimbali
inayohitajika kwao na kwa jamii. Imeandaliwa na Othman Mapara. Zanzinews.com
0 maoni:
Chapisha Maoni