Rais
wa Jamhuri ya Muungano waTanzania, Rais Dkt. John Pombe Magufuli
awataka viongozi Wote walioalikwa kuhudhuria kilele cha mbio za Mwenge
wa Uhuru na kumbukumbu ya Baba wa Taifa kutokuhudhuria maadhimisho hayo
na badala yake watafute namna ya kuadhimisha katika maeneo yao huku
lengo nikupungua matumizi ya Serikali.
Rais
Magufuli ameagiza wale wote waliopewa posho na nauli za safari
warejeshe mara moja fedha hizo. (Soma zaidi hapa katika taarifa ya
Ikulu)
Taarifa ya Ikulu
0 maoni:
Chapisha Maoni