Jumatatu, 31 Oktoba 2016

WAANDISHI WA HABARI DODOMA WATEMBELEA MIRADI YA UWEKEZAJI YA LAPF

Posted by Esta Malibiche on Oct 31.2016 in NEWS

la1
 Kaimu Mkurugenzi  Huduma kwa Wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF ramadhani Mkeyenge akizungumza na Waandishi wa Habari mjini Dodoma kuhusu miradi iliyotekelezwa
na LAPF katika maeneo mbali mbali nchini. 
la2
Baadhi ya Maofisa wa LAPF pamoja na waandishi wa Habari wakitembelea mradi wa mabweni
katika Chuo cha Serikali za Mitaa cha Hombolo nje kidogo ya manisapaa ya Dododma. LAPF imetumia bilioni 39 kujenga baadhi ya majengo na miundimbinu katika chuo hicho.
 
la3
Mradi wa Mabweni katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). LAPF imetumia bilioni 22
kujenga majengo na miundimbinu katika Chuo cha Elimu ya Tiba na Afya chuoni
hapo kwa awamu ya kwanza ya mradi huo.
 
la4
Moja ya Vyumba vya madarasa katika Chuo cha Serikali za Mitaa cha Hombolo (Sehemu ya
mradi wa LAPF). Darasa hili lina uwezo wa kuchukua wanafunzi 520 kwa wakati
mmoja. 
la5
Maabara ya Kompyuta katika Chuo cha Serikali za Mitaa cha Hombolo 

0 maoni:

Chapisha Maoni