Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Waziri wa
Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki Dk.Suzan Alphonce
Kolimba wakati alipofika Ikulu Mjini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki Dk.Suzan
Alphonce Kolimba wakati alipofika Ikulu Mjini Unguja leo,
[Picha na Ikulu.] 12/10/2016.
0 maoni:
Chapisha Maoni