Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez, akitoa salamu za Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, wakati wa maadhimisho ya miaka 71 ya UN waliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.