Alhamisi, 13 Oktoba 2016

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AAGANA NA KIONGOZI MKUU WA MADHEHEBU YA BOHORA DUNIANI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Posted by Esta Malibiche on Oct13.2016 in NEWS

bor1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin Ikulu jijini Dar es salaam.
bor2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea mfano wa moja ya Hundi ya USD (100,000) kutoka kwa kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin aliyechangia jumla ya kiasi cha dola za Kimarekani 250,000/- kwa ajili ya waathirika wa Maafa ya Tetemeko lililotokea mkoani Kagera.
bor3
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimshukuru kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin mara baada ya kupokea mfano wa hundi yenye thamani ya kiasi cha Dola za Kimarekani 50,000/- Ikulu jijini Dar es Salaam. Katikati ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
bor4
Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin akiwaombea dua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ikulu jijini Dar es Salaam.
bor5
Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin akiwaombea dua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ikulu jijini Dar es Salaam.

bor6

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin mara baada ya kuombewa  dua yeye pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ikulu jijini Dar es Salaam.

bor7
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimshukuru Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin mara baada ya kuombewa dua yeye pamoja na Rais Dkt. Magufuli  Ikulu jijini Dar es Salaam.
bor8
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimfafanulia jambo Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin wakati wakitazama Taaswira ya Simba Ikulu jijini Dar es Salaam.
bor9
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika picha ya pamoja na Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam.
bor10 bor11
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin Ikulu jijini Dar es Salaam.
bor12
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  katika mazungumzo na Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU

0 maoni:

Chapisha Maoni