Ijumaa, 28 Oktoba 2016

WAZIRI MBARAWA AFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WA MISRI NA CANADA.

Posted by Esta Malibiche on Oct 28.2016 in NEWS

1
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa (kulia), akizungumza na Balozi wa Misri nchini, Yasser Elshawaf kuhusu masuala mbalimbali ya Sekta ya Miundombinu ofisini kwake jijini Dar es salaam.
2
Balozi wa Misri nchini, Yasser Elshawaf (kushoto), akifurahi jambo na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa,  alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es salaam kuzungumzia masuala mbalimbali kuhusu Sekta ya Miundombinu nchini.
3
Balozi wa Canada nchini, Ian Myles (katikati), akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, alipokutana nae ofisini kwake kuzungumzia masuala mbalimbali kuhusu Sekta ya Miundombinu nchini.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.

0 maoni:

Chapisha Maoni