Posted by Esta Malibiche on Oct6.2016 in NEWS
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiagana na Mwenyekiti wa Taifa wa Bodi ya taifa ya Parole, Augustine
Mrema baada ya kuembelea Gereza la Msalato kwenye Manispaa ya Dodoma
Oktoba 5, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Askari Magereza
baada ya kutembelea Gereza la Msalato kwenye Manispaa ya Dodoma Oktoba
5, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
0 maoni:
Chapisha Maoni