Wakati agizo hilo linatolewa Mhe.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha alikua bado hajaanza safari ya kuelekea Mkoani
Simiyu ingawa taratibu zote za safari zilikua zimekamika.
Aidha Rc Gambo ameanza kusimamia
wahusika wote Mkoani hapa waliokwisha pokea fedha kwa ajili ya safari
hiyo ili kuhakikisha wanatekeleza agizo la Mhe. Rais kwa wakati na
Fedha zitakazookolewa zitaelekezwa kwenye ujenzi wa madarasa kama
sehemu ya maandalizi ya kuwapokea wanafunzi wa kidato cha kwanza, darasa
la kwanza na darasa la awali kwa mwaka 2017.
Imetolewa na:
Nteghenjwa Hosseah
Afisa Habari
0 maoni:
Chapisha Maoni