Alhamisi, 13 Oktoba 2016

WAZIRI NAPE NNAUYE ASHIRIKI SIKU YA KITAIFA YA HISPANIA JIJINI DAR ES SALAAM

Posted by Esta Malibiche on Oct13.2016 in NEWS

pena1
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape  Nnauye akipiga kitaa wakati wa hafla fupi ya Siku ya Kitaifa ya Hispania alipoalikwa kama mgeni rasmi na Balozi wa Hispania hapa nchini.
pena2
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape  Nnauye (kulia) akigonga glasi na Balozi wa Hispania nchini Ndg.Felix Costale Artieda(kushoto) ikiwa ishara ya kutakiana kheri  wakati wa hafla fupi ya Siku ya Kitaifa ya Hispania alipoalikwa kama mgeni rasmi nyumbani kwa Balozi huyo Jijjini Dar es Salaam.
pena3
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape  Nnauye akijadiliana jambo na Balozi wa Hispania nchini Ndg.Felix Costale Artieda(katikati) wakati wa hafla fupi ya Siku ya Kitaifa ya Hispania alipoalikwa kama mgeni rasmi na Balozi wa Hispania hapa nchini.
pena4
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape  Nnauye akibadilishana mawazo na baadhi ya waalikwa wa hafla fupi ya Siku ya Kitaifa ya Hispania alipoalikwa kama mgeni rasmi na Balozi wa Hispania hapa nchini Jijini Dar es Salaam.
pena5

0 maoni:

Chapisha Maoni