Posted by Esta Malibiche on Oct10.2016 in BIASHARA
Wafanyakazi wakifanya mazoezi ya kuimarisha miili yao chini ya mpango wa Afya Kwanza wa kampuni
Wafanyakazi wakifanya mazoezi ya kuimarisha miili yao chini ya mpango wa Afya Kwanza wa kampuni
Wafanyakazi wakizungusha ngao na cheti cha tuzo mitaani
Wafanyakazi wakizungusha ngao na cheti cha tuzo mitaani
Mmoja wa wafanyakazi wa muda
mrefu akipokea cheti kutoka kwa Meneja wa Kiwanda,Jemedari Waziri Meneja
wa kiwanda Jemedari Waziri akiongea na wafanyakazi na wageni waalikwa
………………………………………….
Hivi karibuni kwa mara nyingine kiwanda cha TBL cha Mbeya kilitangazwa
kuwa kiwanda bora cha kutengeneza bia barani Afrika na kunukiwa tuzo
katika hafla ya SABMiller iliyofanyika nchini Afrika Kusini.
Wafanyakazi
wa kiwanda hicho mwishoni mwa wiki waliitumia siku nzima kusheherekea
mafanikio hayo makubwa ambayo yaliambatana na kufanya mazoezi chini ya
Mpango wa kampuni wa Afya Kwanza,kuandamana mitaani kuonyesha tuzo
waliyopata kwa wananchi,kutunuku vyeti kwa wafanyakazi wa muda mrefu pia
kulikuwepo na hafla kubwa ya kupongezana iliyohudhuriwa na wafanyakazi
na viongozi mbalimbali wa serikali mkoani Mbeya.
0 maoni:
Chapisha Maoni