Alhamisi, 13 Oktoba 2016

DC IRINGA RICHARD KASESELA AZINDUA KINGA TIBA YA KICHOCHO

Posted by Esta Malibiche on Oct13.2016 in NEWS

Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akigawa  dawa ya Kinga tiba kwa ajili ya kuzuia maambukizi ya kichocho kwa wanafunzi wa shule  ya Msingi Umusalama iliyopo Manispaa ya Iringa.MKUU  wa wilaya ya Iringa Mh Richard Kasesela  amezindua kampeni ya kuwanywesha watoto dawa ya Kinga tiba kwa ajili ya kuzuia maambukizi ya kichocho kwa wanafunzi wa shule za msingi wilayani Iringa.
 Shule zote za msingi katika wilaya ya Iringa zitapata dawa na kuwanywesha watoto wote ilikujikinga na ugonjwa wa kichocho. 

" wazazi wanatakiwa ruhusu watoto wao kupata kinga tiba kwani wataondokana na ugonjwa hatarishi''''''Wataalamu wameatuambia haziana madhara yoyote ili mradi mtoto awe amekula". 
Alisema Shule zote zitakazo toa dawa zitahakikisha watoto wana pata chakula kabla hawaja pewa. 
''''Zoezi hili litafanyika wiki mbili na kuhakikisha kila mtoto anapata Kinga tiba..
 
 
.
 


 


Mkuu wa wilaya akiendesha zoezi la kugawa dawa kwa wanafunzi wa shule ya msingi Umsalaam iliyopo manispaa ya Iringa.

 Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akiendelea na zoezi la kugawa  dawa ya Kinga tiba kwa ajili ya kuzuia maambukizi ya kichocho kwa wanafunzi wa shule  ya Msingi Umusalama iliyopo Manispaa ya Iringa
 Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akiendelea na zoezi la kugawa  dawa ya Kinga tiba kwa ajili ya kuzuia maambukizi ya kichocho kwa wanafunzi wa shule  ya Msingi Umusalama iliyopo Manispaa ya Iringa
 Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akitoa Elimu  kwa wazazi walioji kuhusu usalama wa watoto wao mara watakapokunywa dawa hizo 
  Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akiendelea kugawa  dawa ya Kinga tiba kwa  wananfunzi ili  kuzuia maambukizi ya kichocho kwa wanafunzi wa shule  ya Msingi Umusalama iliyopo Manispaa ya Iringa

0 maoni:

Chapisha Maoni