Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa
Tanzania nchini Marekani Mhe Wilson Masilingi aliyekutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 12, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifanya mazungumzo na Balozi wa
Tanzania nchini Marekani Mhe Wilson Masilingi aliyekutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 12, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zawadi ya kitabu
kutoka kwa Mkuu wa Majesho Mstaafu Jenerali George Waitara aliyekutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 12, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara baada ya kukutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 12, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifanya mazungumzo na Balozi wa
Tanzania nchini Ujerumani Mhe: Philip Marmo alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 12, 2016
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng. John Kijazi akitangaza maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli kuhusiana na sherehe za kuzima mwenge mkoani Simiyu.
PICHA NA IKULU
0 maoni:
Chapisha Maoni