Posted by Esta Malibiche on Oct 28.2016 in MICHEZO
Kocha
Mkuu wa klabu ya Manchester United,Jose Mourinho ameshtakiwa na
Shirikisho la Soka la nchini Uingereza FA kwa kudai kuwa itakuwa vigumu
kwa mwamuzi Anthony Taylor kusimamia mechi yao dhidi ya majogoo
Liverpool.
Mourinho aliongezea kuwa kumteua Taylor
kusimamia mechi hiyo ya tarehe 16 Oktoba ilimpatia shinikizo refa huyo
mwenye makao yake katika jiji la Manchester.
Hata hivyo sheria za FA zinaeleza kuwa Makocha wote hawaruhusiwa kuzungumzia kuhusu marefa kabla ya mechi.
Mourinho ana hadi Oktoba 31 kujibu
shitaka la ukosefu wa nidhamu na kusababisha mechi hiyo kuwa na jina
baya na Taylor alito kadi 4 za njano zote kwa timu ya Manchester United
katika sare hiyo ya 0-0
0 maoni:
Chapisha Maoni