Posted by Esta Malibiche on Oct17.2016 in NEWS
Afisa Usajili wa Mamlaka ya
Vitambulisho vya Taifa Mkoa wa Mwanza Bw. Daud Hashimu Abdallah
akiwasilisha taarifa ya usajili wa watumishi wa umma kwa ajili ya
kupatiwa Vitambulisho vya Taifa kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki
(hayupo pichani) wakati wa ziara ya kikazi ya waziri huyo mkoani
Mwanza kwa ajili ya kukagua na kufanya tathmini ya zoezi la usajili wa
watumishi wa umma ili kupata Vitambulisho vya Taifa.
Mkurugenzi wa Halimashauri ya
Wilaya Misungwi Bw. Eliurd L. Mwaiteleke (kulia) akimuongoza Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.
Angellah J. Kairuki (katikati) kwenda katika moja ya kituo cha kusajili
watumishi wa umma kwa ajili ya kupatiwa Vitambulisho vya Taifa wakati
wa ziara ya waziri huyo ili kuona namna zoezi hilo linavyoendeshwa
katika Halimashauri ya Wilaya Misungwi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki
akipewa ufafanuzi na Afisa Usajili wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
wa Halimashauri ya Wilaya Misungwi Bw. Abbasi Iwodya (kulia) juu ya
taarifa zinazowasilishwa na watumishi wa umma kwa ajili ya kupatiwa
Vitambulisho vya Taifa wakati wa ziara ya kikazi ya waziri huyo
aliyoifanya katika Halimashauri ya Wilaya Misungwi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki
(Mb) akizungumza na mmoja wa watumishi aliyekuwa akijisajili kwa ajili
ya kupata Kitambulisho cha Taifa wakati wa ziara ya waziri huyo ya
kukagua na kufanya tathmini ya zoezi hilo katika Halimashauri ya Wilaya
Misungwi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki
(Mb) akikagua viambatanisho vya malalamiko yaliyowasilishwa na mmoja wa
watumishi wa Halimashauri ya Wilaya Misungwi wakati wa ziara ya kikazi
ya waziri huyo aliyoifanya katika Halimashauri hiyo ili kukagua na
kufanya tathmini ya zoezi la usajili wa watumishi wa umma kwa ajili ya
kupatiwa Vitambulisho vya Taifa mkoani Mwanza.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki
(Mb) akipokea malalamiko ya mtumishi wa Halimashauri ya Wilaya Misungwi
wakati wa ziara ya kikazi ya waziri huyo aliyoifanya katika
Halimashauri hiyo ili kukagua na kufanya tathmini ya zoezi la usajili wa
watumishi wa umma kwa ajili ya kupatiwa Vitambulisho vya Taifa mkoani
Mwanza.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki
(Mb) akizungumza na watumishi wa Halimashauri ya Wilaya Misungwi wakati
wa ziara ya kikazi ya waziri huyo aliyoifanya katika Halimashauri
hiyo ili kukagua na kufanya tathmini ya zoezi la usajili wa watumishi wa
umma kwa ajili ya kupatiwa Vitambulisho vya Taifa mkoani Mwanza.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki
(Mb) akishuhudia mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ilemela
akisajiliwa kwa ajili ya kupata Kitambulisho cha Taifa wakati wa ziara
ya waziri huyo ya kukagua na kufanya tathmini ya zoezi hilo katika
Halimashauri hiyo.
Baadhi ya watumishi wa
Halmashauri ya Wilaya ya Nyamagana waliojitokeza kwa ajili ya kujisajili
ili kupata Vitambulisho vya Taifa wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J.
Kairuki (Mb) (hayupo pichani) wakati wa ziara ya kikazi ya waziri huyo
aliyoifanya katika Halmashauri hiyo ili kukagua na kufanya tathmini ya
zoezi hilo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki
(Mb) akishuhudia usajili wa watumishi wa umma wa Halmashauri ya Wilaya
ya Nyamagana kwa ajili ya kupata Vitambulisho vya Taifa wakati wa ziara
ya kikazi ya waziri huyo aliyoifanya katika Halmashauri hiyo ili kukagua
na kufanya tathmini ya zoezi hilo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki
(Mb) akisisitiza juu ya ukamilishaji wa zoezi la usajili wa watumishi wa
umma mkoani Mwanza wakati wa ziara ya kikazi ya waziri huyo mkoani
humo, aliyoifanya kwa lengo la kufanya tathmini ya zoezi hilo . Kulia
ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Bw. John Mongella akimsikiliza.
0 maoni:
Chapisha Maoni