Ijumaa, 28 Oktoba 2016

BENKI YA POSTA YAJENGA CHOO CHA SH.MILIONI 14.5 SHULE YA MSINGI PANDE JIJINI TANGA


Posted by Esta Malibiche on Oct 28.2016 in NEWS
 
 Meneja Mwandamizi wa
Uhusiano wa Umma wa Benki ya Posta Tanzania (TPB),
Noves
Moses katika akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Jengo la Vyoo katika
shule ya msingi Pande ambavyo limegharimu kiasi cha sh.milioni 14.5
kushoto ni Afisa Kilimo na Mazingira Jiji la Tanga,Ened Mzava na kulia
ni Afisa Elimu Sayansi Kimu, Rukia Magogo 

 Meneja Mwandamizi wa Uhusiano wa Umma wa Benki ya Posta Tanzania
(TPB), Noves Moses akizundua Jengo jipya la Choo cha Shule ya
Msingi Pande ambalo wamelijenga.
 Meneja Mwandamizi wa Uhusiano wa Umma wa Benki ya Posta Tanzania
(TPB), Noves Moses kulia akipongezwa na mwalimu mkuu wa shule ya
Msingi Pande,Mathias Anthony mara baada ya kuzindua Jengo la
Choo
 
 Meneja Mwandamizi wa Uhusiano wa Umma wa Benki ya Posta Tanzania
(TPB), Noves Moses katikati akielekea kuzindua Jengo
hilo
Afisa Elimu Msingi wilaya ya
Mkinga,Zakayo Mlenduka akizungumza kwenye halfa hiyo
 Meneja Mwandamizi wa Uhusiano wa Umma wa Benki ya Posta Tanzania
(TPB), Noves Moses wa tatu kutoka kushoto akionyeshwa choo za zamani ambacho kilibomoka na
Afisa Kilimo na Mazingira Jiji la Tanga,Ened Mzava wa tatu kulia wakati alipotembelea eneo
hilo
Choo cha zamani ambacho kilikuwa
kinatumiwa na wanafunzi wa shule hiyo ambacho
kilianguka
Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha

0 maoni:

Chapisha Maoni