Ijumaa, 28 Oktoba 2016

DKT.KIGWANGALA AZINDUA BODI YA HOSPITALI YA TAIFA YA MAGONJWA YA KUAMBUKIZA – KIBONG'OTO

Posted by Esta Malibiche on Oct 28.2016 in NEWS


Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt.Hamisi Kigwangwalla akiongea na wajumbe pamoja na watumishi wa hospitali hiyo(hawapo pichani)swa uzinduzi wa bodi ya hospitali hiyo iliyopo Wilayani Siha inayotoa huduma ya kifua kikiu sugu





Baadhi ya wajumbe wa bodi hiyo mpya(wanne mbele) wakimsikiliza mgeni rasmi,wa kwanza  kushoto ni Dkt.Sayoki Mfinganga,Dkt.Said Egwaga(Mwenyekiti wa bodi),Dkt.Janeth Mghamba na Justice Mkita ambaye bi mwakilishi toka jamii inayotumia huduma za hospitali hiyo
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt.Hamisi Kigwangwalla akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe pamoja na watumishi wa hospitali




0 maoni:

Chapisha Maoni